JIFUNZE KURUDISHA FOLDER NA SUBFOLDER ZILIZOJIFICHA KWENYE FLASH YAKO AU MEMORY CARD (DISK MCHOMEKO)
0
Kuna wakati mwingine folder hua
hazionekani kwenye USB Flash na hii husababishwa na Virus mfano Malware na kuna
njia nyingi ya kufanya folder zilizojificha kuonekana na hii ni moja kati ya
hizo njia nyingi, USB Hidden Folder Fix hii ni
software ndogo sana amabyo itarudisha folder zako zote kwa kuclick hii
software.
STEPS:
1. Download USB Hidden Folder Fix
2. Chomeka USB Flash yako kwenye
kompyuta
3. Run (Click) USB Hidden Folder Fix
software
4. Chagua USB Flash yako
5. Click Unhidden folder
6. Click Ok
Hapo folder zako zote
zitakua zimerudi na kuonekanaKudownload USB Hidden Folder Fix bofya hapa.

